image

Jifunze Kuwa na Moyo wa Kutoa

.Ni vijana wachache wenye moyo kama huu, ila kuna siri kubwa nyuma yake. Maana imeandikwa ni Heri kutoa kuliko kupokea. .Mbali na hapo ukiwa na moyo wa kutoa utakuwa kama … Continue Reading →


image by debbyhallet.com

The Power of Planning

.Mipango ita kulinda na watu wanao taka kukuonea au kukunyanyasa. Itakupa uvumilivu na subira. .Ndoto zetu zinaweza kuwa kweli, lakini kuwa na mipango kunafanya ndoto zetu zipate pumzi.


image by moneysavingtips.com

Jifunze kuwa Wakili Mzuri wa Pesa Part 6

. Nunua vifaa vya nyumbani kutokana na ubora au uimara na sio kwa sababu ni kipi cha bei rahisi. .Mara nyingi tukienda dukani au super market hupenda kununua kifaa chochote … Continue Reading →


image by todoitbetter.com

Mipango ni nini?

.Mipango ni usimamizi mzuri wa safari yako ya kutoka ulipo zaliwa mpaka kufa. .Mipango ni kuupa maana muda usio tumika, kwa mfano kesho nitafanya nini, ama nifanye nini saa hiiā€¦ … Continue Reading →


image by jungle-media.com

Planning (Mipango) Part 2

.Andika mipango yako ya maisha kwenye daftari au karatasi. Itakusaidia kujua ni mambo gani yakufanya na mambo gani ya kuto fanya. .Hii itakusaidia kuwa na utii maana kila ukitaka kunywa … Continue Reading →


image by ukdolphines.com

Planning (Mipango)

.Kila kijana anapaswa kuwa na mipango. .Ndoto yako ya maisha na mafanikio itabakia kuwa ndoto mpaka utakapo amka na kuandaa mipango mikakati. .Kila binadamu amepewa masaa 24, mafanikio yote yapo … Continue Reading →


image by outsidethebeltway.com

Jifunze Kuwa Wakili Mzuri wa Pesa Part 5

.Achana na tabia zinazo kusababisha kutumia pesa nyingi bila kupata faida yoyote, na badala yake pesa ndio hutumika kwa wingi. Tabia kama hizi ni unywaji wa pombe, sigara na madawa … Continue Reading →


image by lifehopeandtruth.com

A True Friend

.Rafiki yako wa kweli ni yule anaye kusaidia kufikia maono yako. Ni muhimu kwa kijana kujua aina ya marafiki ulio nao. Mfano rahisi, chukua karatasi na uandike majina ya marafiki … Continue Reading →


image by pixgood.com

The Fruits of Your Gift

.Your gift is very unique. In fact ni wewe peke yako mwenye kipawa hicho. Ukweli ni kwamba vijana wengi wanao tumia vipawa walivyo pewa na Mungu hufika mbali. Utakuwa ni … Continue Reading →


image by bigistthenewsmall.com

Original Leadership Philosophy

. Trapped in every follower is a hidden leader. . Every Human was created to lead and designed for dominion. .Leadership potential resides in every individual. .Your were born to … Continue Reading →